LYRICS: VERONICA
JO AFRICA :: THE MYCROPOST :: AMAZONIA
Page 1 of 1
LYRICS: VERONICA
KIITIKIO:
Veronica, (ma'am) kwa ajili yako
Wanataka kunimwaga damu.
Veronica, (ma'am) sababu yako
Watanipeleka jehanamu.
Veronica, (ma'am) uzuri wako
Nitakujengea na sanamu.
Veronica, (ma'am) wazazi wako
Wakurudishe Dar es Salaam.
UBETI 1:
Ulikuja kijijini kutuvuruga,
Tabasamu lako bwana likatuzuga,
Tukajiona kama Apollo wa Chuga,
Tuna mawe ya kutosha we kukufuga.
Ulowapa raha yako walilipia,
Ulowapa ahadi zako kuvumilia,
Na wazazi wako wakakukaripia,
Ukaziba masikio we malkia.
Kila alokupa pesa ulimweka juu,
Malofa ukawatesa wakakuona zoo,
Wakala kwa macho roho juu juu,
Wasokua nacho wakakoma tu.
Ukageuzwa vocha wakakwangua,
Jumla na rejareja wakalangua,
Ukaporomoka ukapungua,
Tukadhani pengine umeshaungua.
{RUDIA KIITIKIO}
UBETI 2:
Una nyota ya nini we Veronica?
Ama ni ya chatu wa Kiafrika?
Unakula mbichi hutaki kupika,
Hauna kinyaa huwezi kutapika.
Tungoje ubadilike tupate jiko?
Ama raha bado ndoa kwako mwiko?
Kumbuka kuna UKIMWI nao UVIKO,
Ukaleta taharuki masikitiko.
Kudanga kubaya ungefunga ndoa,
Maradhi yatakuvalisha barakoa,
Makaburi yapo kila mkoa,
Familia yako ushaitia doa.
Unatrendi kila kona ya mtandao,
Toka Magharibi hadi kule Mwambao,
Si zilizopendwa akina Defao,
Hadi na wakatili akina Farao.
{RUDIA KIITIKIO}
________________
Veronica, (ma'am) kwa ajili yako
Wanataka kunimwaga damu.
Veronica, (ma'am) sababu yako
Watanipeleka jehanamu.
Veronica, (ma'am) uzuri wako
Nitakujengea na sanamu.
Veronica, (ma'am) wazazi wako
Wakurudishe Dar es Salaam.
UBETI 1:
Ulikuja kijijini kutuvuruga,
Tabasamu lako bwana likatuzuga,
Tukajiona kama Apollo wa Chuga,
Tuna mawe ya kutosha we kukufuga.
Ulowapa raha yako walilipia,
Ulowapa ahadi zako kuvumilia,
Na wazazi wako wakakukaripia,
Ukaziba masikio we malkia.
Kila alokupa pesa ulimweka juu,
Malofa ukawatesa wakakuona zoo,
Wakala kwa macho roho juu juu,
Wasokua nacho wakakoma tu.
Ukageuzwa vocha wakakwangua,
Jumla na rejareja wakalangua,
Ukaporomoka ukapungua,
Tukadhani pengine umeshaungua.
{RUDIA KIITIKIO}
UBETI 2:
Una nyota ya nini we Veronica?
Ama ni ya chatu wa Kiafrika?
Unakula mbichi hutaki kupika,
Hauna kinyaa huwezi kutapika.
Tungoje ubadilike tupate jiko?
Ama raha bado ndoa kwako mwiko?
Kumbuka kuna UKIMWI nao UVIKO,
Ukaleta taharuki masikitiko.
Kudanga kubaya ungefunga ndoa,
Maradhi yatakuvalisha barakoa,
Makaburi yapo kila mkoa,
Familia yako ushaitia doa.
Unatrendi kila kona ya mtandao,
Toka Magharibi hadi kule Mwambao,
Si zilizopendwa akina Defao,
Hadi na wakatili akina Farao.
{RUDIA KIITIKIO}
________________
Jo Africa- The Boss
- Posts : 90
Points : 1793
Age : 38
Home Town : Buturi, Mara, Tanzania
Current Job : Tanzanian Reggae Artist, Poet & School Teacher
Residence : Mbeya, Tanzania
Biography : Jo Africa was born in Buturi, Mara, Tanzania on October 4, 1985. He graduated from Teofilo Kisanji University, Mbeya City, Tanzania in 2015 (Bachelor of Arts with Education) and had a Postgraduate in IT Programming from St. Petersburg State University, Russia (2018). He is a Reggae Artist, Poet & School Teacher.
Jo Africa likes this post

Re: LYRICS: VERONICA
Amazing

Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum
|
|